Picha: Ushakutana nayo wapi zawadi kama hii ya ‘Waka Flocka’

  Share this

  Kwa hii zawadi ya keki aliyotunukiwa Waka Flocka na mpenzi wake hutopata hamu ya kula labda kuitazama tu.

  Akiwa anasherehekea siku ya kuzaliwa ya 31, mpenzi wake Waka Flocka, Tammy Rivera aliposti picha ya zawadi ya keki aliyompatia mpenzi wake inayofanana na saa ya Waka Flocka, yaani keki flani hivi ya kinyama.

  Ukitunukiwa Keki kama hii wewe utafanyia nini kwa haraka haraka.

  I went all out for my babe 31st Bday! Happy Birthday babe ❤️ I love you

  A post shared by 🇳🇮 Tammy Rivera Malphurs (@charliesangelll) on

  Dondosha comments


  Share this