picha: Utaipenda safari ya utotoni ya The Weeknd kwenye siku ya Mama Duniani

  Share this

  Katika kusherehekea siku ya Mama duniani, The Weeknd aliamua kufunga safari ya kurudi utotoni kwa picha za kitambo kwenye kurasa yake ya Instagram.

  Akiwa bado kwenye Tour yake ya Star Boy, The Weeknd aliamua kushare picha zake za kitambo akiwa na Mama yake, Samra Tesfaye, ndani ya picha hizo The Weeknd alizisindikiza na caption kibao ambazo zinasema kwamba  “screwface,” best friend pamoja na kiemoji.

  screwface

  A post shared by The Weeknd (@theweeknd) on

  ❤️

  A post shared by The Weeknd (@theweeknd) on

  best friend

  A post shared by The Weeknd (@theweeknd) on

  Dondosha comments


  Share this