Picha: Wizkid awashitua mashabiki wake kwa unyama huu

  Share this

  Wizkid aamua kuwashitua mashabiki zake katika kurasa ya Nicki Minaj kwa kuacha makopa na double tap.

  Wizkid ni moja ya wasanii ambao wanapendwa sana kutoka Afrika na wasanii wakubwa kwa uwezo wake na staili yake ya kuimba, akiwa anaumiza na ngoma ya “Come Closer” aliyomshirikisha Drake, huku akiwa bao anajivunia tuzo za Billboard kupitia ngoma ya “One Dance”, Good Newz ni kwamba Wizkid awashitua mashabiki zake Afrika kwa double tap picha ya Nicki Minaj na kuacha comment ya emoji ya kopa(Love).

  @wizkidayo …😀😍

  A post shared by Perfect255com (@perfect255com) on

  Sawa inaweza kuwa ni ujio labda wa kolabo yake na Nicki Minaj kwasababu Nicki Minaj alishafunguka kwamba anachukia wanaume na mmoja ambaye anaweza kumfikiria ni Nas peke yake, ngoja tuone mwisho wa mchezo unakuwaje.

  Dondosha comments


  Share this