PICHA:TAZAMA ALICHOKIFANYA KING KIBA NA VAZI LA BRENDA FASSIE

  Share this

  Msanii wa muziki kutoka Tanzania, Alikiba, alikuwa kwenye kipindi cha runinga cha MTVBaseAfrica UP SYNC BATTLE.

  Alikiba akiwa stejini

  Kipindi hicho huwachukua mastaa mbalimbali wa muziki na kuwavalisha uhusika wa mtu mwingine ambapo katika kipindi cha wiki hii Alikiba alivaa kama Brenda Fassie na kuimba wimbo wake wa ‘Vulindlela’.

  Alikiba ndani ya muonekano wa Brenda Fassie

  Dondosha comments


  Share this