Posts za mastaa baada ya kifo cha Ivan mzazi mwenza wa Zari

  Share this

  Usiku wa kuamkia leo May 25 zimeripotiwa taarifa za kifo cha aliyekuwa mume wa Zari The Boss Lady ambaye walifanikiwa kuzaa naye watoto watatu, Mr Ivan Semwanga a.k.a Ivan Don.

  Ikiwa ni baada ya wiki chache zilizopita kuripotiwa taarifa zake kwamba ni mgonjwa mahututi kama picha ambazo zilikuwa zikisambaa mitandaoni zilivyokuwa zikimuonyesha.

  Hakika msiba huo umemgusa kila mmoja ambaye alikuwa akimfahamu mfanyabiashara huyo mahiri na maatufu nchini Uganda, ikiwa ni pamoja na mastaa mbali mbali wa muziki na filamu wa hapa nchini kwetu.

  Hizi ni baadhi ya posts ambazo baadhi ya mastaa wa hapa nchini walipost kwenye kurasa zao za kijamii katika kuonyesha hali ya kuguswa na msiba huo na kuwapa pole wafiwa.

  R.I.P Ivan InshallhaMUNGU akusimamiee Mama Tee @zarithebosslady na family zima πŸ™πŸ™

  A post shared by Queen Darleen (@queendarleen_) on


   

  Dondosha comments


  Share this