Rapper Future ndani ya ujumbe kwa Drake

  Share this

  Baada ya kuumiza katika tuzo za Billboard na kutengeneza rekodi yake ya kuondoka na tuzo 13, Future hakuwa nyuma kumpongeza Drake kwa uwezo aliouonesha.

  Kupitia kurasa yake ya Twitter, Futrue aliamua kuandika kwamba “Thanks for setting the bar high, love to see u win BIG, most importantly bringing the team on stage showing unity.” kama utakumbuka rapper Drake aliamua kupanda stejini akiwa na timu kubwa ambayo ni pamoja na Lil Wayne, Nicki Minaj pamoja na Baba yake.

   

  Dondosha comments


  Share this