RAPPER MIGOS NA MWANADADA CARD B KUACHANA???

  Share this

  Mara baada ya kuonekana wanaandamwa sanaa katika penzi lao mastar hao wawili kutoka marekani Card b na Migos wote wakiwa ni wasanii wanaofanya rap style, wamejikuta wakifanya mambo yanayowaletea mashaka mashabiki zao na kuhisi kuwa wawili hao wametengana.

  Kama utakuwa unakumbuka vizuri ni hivi karibuni tu wawili hao wamepata kuveshana pete mbele ya mashabiki zao wakati wakifanya show iliyohudhuriwa na mashabiki zaidi ya 2000.

  Sasa leo kupitia ukurasa wa Instragram wa mwanadada Card b amepost picha na kuandika kuwa “Anaahidi kuto kupost tena picha yake na mkali Migos katika ukurasa huo ila ni marafiki na ni wapenzi” Hii ni iahara ya kuwa wawili hao huenda ikawa wameamua kutoendelea kuweka mahusiano yao katika mitandao ya kijamii au hawapo vizuri??? Nini maoni yako dhidi ya Couple hiyo??

  Dondosha comments


  Share this