Rapper Nasty C wa South Africa ametua Bongo kwa jambo hili!

  Share this

  Mmoja kati ya marapper wakali kutoka nchini South Africa ambaye aliumiza kinoma kwenye ngoma ya Davido Coolest Kid in Africa, Nasty C ametua Bongo leo hii kwa ajili ya ku-spend weekend yake na vitu ka hizo.

  Usiku wa leo atakuwa pande za Masaki Dar es Salaam kwenye club moja ifahamikayo kama Noir, ikiwa kama fursa kwa wasanii wa hapa nchini katika mpango mzima wa collabo na vitu ka hizo.

  Unaweza kujivuta pande hizo kama upo Dar es Salaam kwasababu Burudani ndio kitu ambacho lazima kihusike pande hizo.


   

  Dondosha comments


  Share this