RAPPER YG AWASHANGAA MASHABIKI WANAVYOIFURAHIA FREESTYLE YA EMINEM CYPHER BET HIPHOP AWARDS 2017

    Share this

    Rapper YG bhana anashangaa kuona Eminem anapewa heshima kubwa kwa kumdiss Donald Trump wakati yeye ndie alikuwa mwanzilishi wa kumtukana Live Donald Trump kwa wimbo wake ule wenye F kibao.

    Kama utambuka Jumanne hii rapper Eminem alitamba na Freestyle yake kwenye Cypher ya BET HIPHOP AWARDS 2017 kwa kumdiss Donald Trump bila kuacha kitu, Sasa YG amefunguka kupitia kurasa yake ya Twitter na kudai kwamba yeye ndio mtu wa kwanza kumchana Donald Trump lakini anashangaa kwanini yeye hajapata Attention kubwa kama ilivyo Eminem.

    Dondosha comments


    Share this