Roma-: Wasanii wanawekeza zaidi kwenye video kuliko audio! Tubadilike!

  Share this

  Ni ukweli usiofichika kwamba sasa hivi wasanii wengi wa muziki wamekuwa wakiangalia kuwekeza pesa na nguvu nyingi zaidi kwenye video na sio audio.

  Sasa huo ni mmoja kati ya michongo ambayo inamkera kinoma noma mtu mzima Roma Mkatoliki na ameamua kufunguka ya moyoni kwa kupaza sauti kupitia kipaza cha Perfect255.

  “Me nahani wasanii tungejaribu ku-invest kwenye talent na sio vitu vingine extra, ni vizuri kuona game inabadilika na watu wanavuka mipaka, watu wanavuka boda lakinin tunajaribu kuinvest katika vitu vingine extra kuliko vile vitu ambavyo vinapaswa kuwa invested, hasa kwenye Audio.”

  hayo ni baadhi kati ya mambo kibao ambayo Roma amefunguka juu ya issue hiyo, play hii video hapa chini ili kumsikiliza akifunguka mwanzo hadi mwisho.


  • Ukweli kuhusu ajali ya kuzama kwa Boti ya MV Burudani mkoani Tanga

  Dondosha comments


  Share this