ROSTAM KUJIVUNIA NA HILI

    Share this

    Rostam kwa mara ya kwanza wanaingia katika number 1 trending kupitia mtandao wa Youtube na wimbo wao wa Kiba_100 waliomshirikisha Mauasama ndani ya muda wa masaa 8. Hii imewafanya kuwa ni wasanii wa kwanza wa Hip hop nchini Tanzania kufikia record hiyo.

    Rostam ni kundi linaloundwa na Roma na Stamina wamefunguka kuwa hawakutegemea kufikia record hiyo ndani ya muda mfupi hivyo hii inawaonyesha kuwa Tanzania inawajeshimu na kufuatilia aina ya muziki wanaoufanya.

    Dondosha comments


    Share this