SAHAU KUHUSU ALI KIBA NA REKODI YA SEDUCE ME,HII NDIO REKODI MPYA ILIYOWEKWA TENA

  Share this

  Msimu wa mwisho wa tamthilia ya ‘Game of Thrones’ umevunja rekodi kwa kutazamwa na watu wengi zaidi kupitia HBO.

  Image result for THE GAME OF THRONE

  Awali rekodi kama hiyo ilikuwa ikishikiliwa na tamthilia ya ‘The Dragon and the Wolf’ iliyokuwa na watazamaji milioni 12.1 na sasa rekodi inashikiliwa na ‘Game of Thrones’ iliyopo msimu wa saba ikiwa na watazamaji milioni 16.5, kwa muijbu wa Nielsen.

  Pia HBO ameongeza kuwa idadi ya watazamaji wa tamthilia hiyo wanazidi kuongezeka kutokana na kuwa wengine wanatazama kupitia online.

  Image result for THE GAME OF THRONE

  Related image

  Dondosha comments


  Share this