sijawahi kugombana na davido- ice prince zamani

  Share this

  Rapper Ice Prince Zamani kutoka nchini Nigeria ameweka wazi kuwa hajawahi kugombana na Davido, na wanaosema hivyo wanadanganya.

  Ice Prince ameyasema hayo wakati akifanyiwa interview na Moet Abebe wa Soundcity TV na kukanusha uvumi kuwa aligombana na davido toka mwanzoni mwa mwaka huu.

  Rapper huyo amesema hajui story hizo zimetoka wapi kwasababu hajawahi kugombana kabisa na Davido.

  “it (the story) was definitely fabricated.” ( Ice Prince Zamani)

  Dondosha comments


  Share this