Sio kwa ajili ya video ya ‘Unforgettable’, French Montana asaidia sekta ya Afya Uganda

  Share this

  Licha ya kuwa bize katika kuipromote Album yake ya “Junge Rules”, Unaambiwa rapper French Montana pamoja na mshikaji wake The Weeknd waamua kusaidia Sekta ya Afya huko nchini Uganda ambapo kila mmoja alijitolea dola za kimarekani Laki Moja.

  Kabla ya msaada, kituo hicho cha Afya cha Suubi kilichopo Bondondo nchini Uganda kilikuwa na uwezo wa kusaidia watu 56,000 lakini kupitia mchango wao wa dola lakimoja lakimoja ambao ni sawa na Milioni 400 za Kibongo utafanikisha kituo hiko kupokea watu 286000.

  Brick by brick build empires #unforgettablemoments 🇺🇬 #junglerules

  A post shared by French Montana (@frenchmontana) on

  Dondosha comments


  Share this