TAYLOR SWIFT AENDELEA KUIANDAMA FAMILIA YA KARDASHIAN,SASA NI ZAMU YA KYLIE JENNER

  Share this

  Msanii Taylor swift amezidi kuiandama familia ya Kardashian baada ya kuwa na mzozo mkubwa kati yake na mume wa kim kardashian msanii wa hip hop kanye west,Bifu ambalo limemfanya Taylor swift kutoa nyimbo ambayo ndani yake kuna maneno ya kumsema kanye west juu ya mahusiano yake na kimkardashian

  Mwanadada Taylor swift ameendelea kuiandama familia hiyo ya kardashian baada ya kutoa maneno ya kejeli kwa kyle jenner mdogo wa kim kardashia kwa kumwambia kyle afanye kama anavyo fanya yeye hii ni baada ya taylor kuonekana kwenye bango kubwa katika mitaa ya Santa Monica Blvd na La Cienega lenye ukubea wa feet 50 huku liliwa limeandikwa LOOK WHAT YOU MADE ME DO ikiwa ndio nyimbo yake mpya ambayo ina maneno makali juu ya kim na kanye.

  Hata hivyo msanii huyo akuwa katika bifu na kyle jenner na inashangazwa kuona ni kwanini ametoa maneno hayo ,Wakati yeye alikuwa na bifu na dada mtu kim na mpenzi wake kanye,kincho subiriwa kwa sasa ni kuona ni jinsi gan kayle jenner atajibu mapigo kwa Talyor swift.

  Dondosha comments


  Share this