Tazama officialy trailer la documentary ya Bad Boy ‘Can’t Stop Won’t Stop: A Bad Boy Story’

  Share this

  Baada ya kuona promo kibao kuhusu ujio wa Documentary mpya ya Bad Boy Can’t Stop Won’t Stop: A Bad Boy Story”Diddy aamua kushare trailer la documentary hiyo kwenye tuzo za Billboard 2017.

  Cover

  Ikiwa imeongozwa na Daniel Kaufman, documentary hiyo imelenga maisha ya nyuma ya pazia kuhusu kundi hilo la Bad Boy,  Documentary hiyo inatarajiwa kutoka June 25 mwaka huu ikiwa Exclusive ndani ya Apple Music.

   

  Dondosha comments


  Share this