Tegemea Hit Song ya Patoranking na Diamond Platnumz September hii

  Share this

  Kupitia instagram ya mkali wa Dancehall kutoka nchini nigeria Patoranking ametusanu projects zake zinazokaribia kutoka hivi karibuni ambapo moja kati ya hizo inamuhusisha mkali kutoka +255 Diamond Platnumz.

  Love You Die ndio jina la ngoma ambayo imewakutanisha wakali hao ambayo inatarajiwa kuachiwa rasmo September 1 mwaka huu.

  Unahisi ni ukali kiasi gani itakuwa nao ngoma hiyo kutokana na uwezo wa wakali wote wawili hao? Niachie comment yako hapa chini kwenye uwanja wa comments.


   

  Dondosha comments


  Share this