THE WEEKND ASHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MARVEL KWENYE MCHONGO HUU..

  Share this

  The Weekend kuja na jalida lake la Comic ambalo ameshirikiana na Kampuni kubwa ya utengenezaji Movie, Marvel.

  A post shared by The Weeknd (@theweeknd) on

  Baada ya kujizolea mafanikio makubwa kupitia Album yake ya STARBOY ambayo imebeba nyimbo kibao zenye ujazo, Mashabiki wa The Weeknd wategemee kupokea Jalida la Comic ambalo limepewa jina la StarBoy ikiwa na sura ya The Weeknd kwenye mfumo kama wa Super Hero.

  Jarida hilo ambalo ameshirikiana na Marvel, linatarajiwa kutolewa rasmi mwakani 2018, licha ya kutooengelea ni kipi ambacho kitakuwepo humo ndani, ila kwa Historia ambayo wanayo Marvel basi bila shaka najua tutegemee kumuona The Weeknd akiwa moja ya Heros kutoka Marvel.

  Dondosha comments


  Share this