U-Heard-: Barnaba agundulika kuwa na Mtoto mwingine Temeke Mwembeyanga

  Share this

  Hapo awali ilikuwa ikifahamika kuwa Barnaba ana mtoto mmoja tu afahamikae kama Steve, Mtoto ambaye alizaa na aliyekuwa mpenzi wake ambaye hivi sasa hawako pamoja (Mama Steve).

  Shilawadu wameripoti kumuona Barnaba mara kwa mara maeneo ya Temeke Mwembe Yanga na kudai kuwa pande hizo mkali huyo ana mtoto wa kike na amekuwa akionekana kwenda kumuona mara kwa mara.

  Soudy Brown amemtafuta Barnaba ili kulithibitisha hilo na majibu yake yote nimekuwekea kwenye video hhii hapa chini, bonyeza play ili uweze kuusanukia mchongo mzima.


   

  Dondosha comments


  Share this