U-Heard-: Chege mapenzini na Mrembo mpya! Adaiwa kuwa Baba Kijacho!

  Share this

  Kitaani kuna tetesi zinazomuhusisha mkali wa Bongo Fleva kutoka kiumeni Chege Chigunda zinazodai kuwa hivi sasa yuko mapenzini na mrembo mpya anayefahamika kwa jina la Zahara.

  Mrembo ambvaye Shilawadu wanadai kuwa ni mjamzito na ujauzito huo unasemekana kuwa ni wa Chege Chigunda.

  Kupitia U-Heard ya leo May 10, Soudy Brown amemvutia waya Chege na kupiga naye story kuhusiana na issue hiyo.

  Unataka kujua alichojibu Chege juu ya uvumi huo? Uhondo kamili nimekuwekea kwenye video hii hapa chini, bonyeza play uweze kusikiliza mwanzo mpaka mwisho wa mazungumzo ya Soudy Brown na Chege.


  • Kauli ya Ruge Mutahaba kuhusu kufanikiwa kwa Diamond Platnumz

  Dondosha comments


  Share this