U-Heard-: Emmanuel Mbasha adaiwa kujiselfisha kwenye Ndinga ya mtu

  Share this

  Baada ya mambo mambo flani kupitika miezi kadhaa iliyopita ikiwemo na aliyekuwa mke wake kuolewa tena, ni story kadhaa zimekuwa zikizungumzwa kumuhusu Emmanuel Mbasha.

  Leo hii kwenye U-Heard ya XXL Clouds FM, Emmanuel Mbasha ame-make headkines baada ya kudaiwa kujiselfisha kwenye ndinga ya mtu bila ya ruhusa ya mwenye ndinga.

  Imesikika Soudy Brown akipiga story na anayedai kuwa mwenye gari ambalo Mbasha amejiselfisha nalo, akikemea vikali kitendo cha mwana injili huyo kukupiga picha kwenye gari yake bila ruhusa yake.

  Soudy Brown alimvutia waya Emmanuel Mbasha na kupiga naye story kuhusiana na tuhuma hizo, unataka kujua alichojibu Mr Mbasha? Bonyeza play kwenye video hii hapa chini ili uweze kuusanukia mchongo mzima.


   

  Dondosha comments


  Share this