U-Heard-: Jina Konki Master kuzua Utata Mzito baina ya Chege na Baga

  Share this

  Kama umekuwa ukimfuatilia msanii Chege Chigunda kiukaribu katika page zake za mitandao ya kijamii naamini utakuwa umekutana na neno “Konki Master” jina ambalo amekuwa akijiita mkali huyo siku za hivi karibuni.

  Muigizaji wa Bongo Movie Mteme Baga ameibuka na kudai kwamba anachofanya Chege sio poa kwasababu jina Konki Master ni jina lake ambalo amekuwa akilitumia kitambo kitaani hata kwenye kazi zake za maigizo.

  Soudy Brown amewatafuta wote wawili na kupiga nao story kuhusiana na mchongo huo, bonyeza play kwenye video hii hapa chini kuweza kuusanukia mchongo mzima.


   

  Dondosha comments


  Share this