U-Heard-: Kauli ya Madee baada ya kuchezea POVU la Zari kisa kuchafua ofisi ya WCB

  Share this

  Niamini mimi, kama umefollow page ya @perfectotv_ kwenye Instagram huwezi kuwa unapitwa na mbanga zote ambazo zinaendelea kwenye mitandao ya kijamii.

  Mfano mzuri ni hili povu la Zari alilomtolea msanii Madee baada ya kujiselfisha akiwa na mtoto mzuri Zanana wakiwa wameweka miguu katika kuta za ofisi ya WCB Wasafi.

  Povu la Zari

  Soudy Brown amemvutia waya Madee na kumuuliza kilichojiri baada ya kutolewa povu hilo na shemeji yake huyo kwa Diamond Platnumz.

  Madee amefanya kama kuizima issue hiyo na kudai kwamba ni utani ndio ambao ulikuwa ukiendelea baina yao. Uhondo kamili nimekuwekea kwenye video hii hapa chini. Unachotakiwa kufanya ni kubonyeza play ili uweze kuusanukia mchongo mzima.


  • Full interview ya WCB Wasafi wakimtambulisha msanii wao mpya kwenye Leo Tena ya Clouds fm.

  Dondosha comments


  Share this