U-Heard-: Kuachana na Harmonize kumemtia Wolper Stress

  Share this

  Wiki chache zilizopita tuliripotiwa taarifa ya kuvunjika kwa penzi la mastaa wawili, Jacqueline Wolper wa Bongo Movie na Harmonize kutoka Bongo flevani, ikiwa ni pamoja na uthibitisho wa taarifa hizo kutoka kwa Harmonize pale alipofanya interview kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM.

  Shilawadu wametupenyezea taarifa kumuhusu Jacqueline Wolper, zikidai kuwa weekend iliyopita amefanya varangati pande za Tabata ikiwa kinachodaiwa ni stress za kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Harmonize.

  Soudy Brown amemvutia waya Wolper na kulizungumzia suala hilo, unataka kujua alichojibu Wolper? Uhondo kamili nimekuwekea kwenye video hii hapa chini, unachotakiwa kufanya ni kubonyeza play ili uweze kuusanukia mchongo mzima.


   

  Dondosha comments


  Share this