U-Heard-: Majibu ya Young Dee kuhusu kusambaa kwa video ya Ngono ya Dogo Muu

  Share this

  Kama we ni m-noma kwenye groups za whatsapp naamini utakuwa umekutana na video inayomuonyesha dogo ambaye Young Dee aliwahi kumtambulisha kama msanii wake (Dogo Muu) akiwa anakwichi kwichi na mrewmbo ambaye shilawadu wanadai kuwa ni Tunda video vixen.

  Video ambayo imezua gumzo kubwa na maswali mengi kitaani ukilinganisha na umri wa Dogo Muu kuwa mdogo kias kwamba hakuna mwenye imani kuwa Dogo huyo amekwisha timiza miaka 18.

  Soudy Brown amemvutia waya Young Dee na kutaka kuzungumza naye juu ya suala hilo yeye kama mkubwa wa Dogo Muu.

  Young Dee amedai kuwa hivi sasa Dogo Muu hayupo chini ya himaya yake, na badala yake anaishi chini ya uongozi wa familia ya video vixen Tunda kwa hivyo yeye hawezi kutambua chochote kuhusiana na video hiyo.

  Bonyeza play kwenye video hii hapa chini ili uweze kusikiliza A-Z mazungumzo ya Soudy Brown na Young Dee kwenye U-Heard ya leo May 24.


   

  Dondosha comments


  Share this