U-Heard-: Ndoa ya Zungu wa WCB yavunjika! Atelekeza Mke na Mtoto!

  Share this

  Zungu ni mmoja kati ya dancers wakali wa msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz. Mapema mwaka jana zilitufikia taarifa na picha kusambaa kwenye mitandao zikionyesha kuwa dancer huyo amevuta jiko (Amefunga Ndoa).download

  Sasa taarifa zimemfikia mwakilishi wa shirika la wambea duniani Soudy Brown zinazodai kwamba ndoa hiyo imevunjika na inasemekana Zungu ametelekeza mke pamoja na mtoto.

  Ni baada ya kupigiwa simu na anayedai kuwa ni aliyekuwa mke halali wa Zungu na kutoa malalamiko yake kedekede.

  Ubuyu wote nimekukusanyia kwenye video hii hapa chini, play uweze kusikiliza jinsi mwanadada huyo alivyokuwa akipiga story na Soudy Brown.


  • Ukweli kuhusu ajali ya kuzama kwa Boti la MV Burudani mkoani Tanga

  Dondosha comments


  Share this