U-Heard-: Penzi la Dogo Janja na Irene Uwoya lazidi kushamiri

  Share this

  Baada ya kuwa na story kitaani kuwa mkali kutoka Tiptop Connection Dogo Janja kuwa anatoka kimapenzi na mrembo kutoka Bongo Movie Irene Uwoya, Shilawadu wameripoti kuwaona wawili hao hotelini jijini Mwanza.

  Soudy Brown amemtafuta Dogo Janja bila mafanikio na kuamua kupiga story na Baba yake mlezi Madee Seneda kupitia U-Heard ya leo kwenye XXL ya Clouds fm.

  Bonyeza play kwenye video hii hapa chini kuweza kusikiliza mwanzo mwisho mchongo mzima jinsi ulivyokuwa.


   

  Dondosha comments


  Share this