U-Heard-: Penzi la Young Dee na Amber Lulu kwisha habari yake

  Share this

  Tunakumbuka zile story ambazo zilikuwa zina trend zikiwahusisha Paka Rapper Young Dee na Video Vixen Amber Lulu kuwa wanatoka kimapenzi na hadi kufikia time Amber Lulu akaamua kuchora tattoo ya jina la Young Dee.

  Sasa Shilawadu wanadai kwamba hakuna tena mapennzi baina ya wawili hao na hadi sasa Amber Lulu amekwisha ifutia mbali ile Tatoo aliyochora ya Young Dee.

  Soudy Brown amewavutia waya wote wawili kuwauliza ukweli juu ya tetesi hizo kutoka Shilawadu, unataka kujua majibu yao yalikuwa vipi!? Story kamili nimekuwekea kwenye video hii hapa chini.

  Bonyeza play kwenye video hii hapa chini kuusanukia mchongo mzima mwanzo mwisho


   

  Dondosha comments


  Share this