U-Heard-: Polisi wamshikilia Mr Nice kisa kunywa Pombe Asubuhi

  Share this

  Shilawadu wamepenyeza story za kimbembe kilichotokea pande za Manzese Uwanja wa fisi zikimuhusisha msanii mkongwe wa Bongo fleva Mr Nice.

  Shilawadu wanadai Jeshi la Polisi lilitenda kazi yake kwa kumshikilia msanii huyo baada ya kuvunja sheria inayo kataza mtu kunywa pombe mida ya kazi.

  Soudy Brown amepiga story na watu ambao walikuwepo eneo la tukio wakati kisanga hicho kiki-happen. Uhondo kamili nimekuwekea kwenye video hii hapa chini, bonyeza play kuusanukia mchongo mzima.


   

  Dondosha comments


  Share this