U-Heard-: Q-Chief na MB Dogg kwenye BIFU zito la familia!

  Share this

  Za kunyapia nyapia zimemfikia mwakilishi wa shirika la wambea duniani Soudy Brown zikiwahusu wakongwe wawili wa muziki wa Bongo Fleva ambao kwasasa wako chini ya usimamizi wa management moja.

  Ni Q Chief pamoja na MB Dogg ambao wote wako chini ya QS Muhonda. Inasemekana kwamba wawili hao wapo katika bifu zito, bifu ambalo limepelekea hadi kuziingiza familia za  wawili hao.

  Unataka kukijua chanzo? Q Chillah amefunguka kila kitu kwenye video hii wakati akipiga story na Soudy Brown kwenye U-Heard ya leo January 11. Play hii video hapa chini kupata ubuyu kamili.


  • Tofauti na $5000 Benpol atafanya collabo kwa makubaliano haya

  Dondosha comments


  Share this