UJIO MPYA WA EMINEM UMEIVA……

  Share this

  Album ya Eminem ipo tayari kuanzia hivi sasa muda wowote ule Album hii inaweza ikaachiliwa, na Taarifa hiyo imetolewa na mshikaji wake Eminem ambaye pia ndiye ametayarisha Album hiyo amedai kwamba Album imeisha.

  Kumekuwa na kimya cha muda mrefu kwa rapper Eminem tangu alipofunguka kuhusu Album yake, Mtayarishaji huyo Denaun alifunguka kupitia mazungumzo yake kwenye Instagram Live alitoboa ubuyu huo kwa mashabiki wake.

  Kwahiyo mpango mzima Kama wewe ni shabiki wa Eminem basi kaa mkao wa kula.

  Dondosha comments


  Share this