UNA MAONI GANI JUU YA UNYAMA HUU ANAOKUJA NAO DIAMOMD PLATNUMZ

  Share this

  Baada ya kutu bless na kionjo cha ujio wa video yake mpya na Rick Ross huko nchini Marekani, Ujazo mwingine ni hii #CoverAlbum ya ujio wa Album ya #diamondplatnumz ambayo ameipa jina la #aboyfromtandale

  Image result for diamond platnumz and rick ross

  Kama utakumbuka kitambo kidogo, ujio wa ngoma ambayo tumenogeshwa kionjo cha video akiwa na Rick Ross, ni moja ya ngoma ambayo @diamondplatnumz alishawahi kuitaja kwamba itapatikana kwenye ujio wa Album yake.

  Image result for diamond platnumz and rick ross

  Unahisi hii Album itakuwa na ujazo wa hali gani?

  Dondosha comments


  Share this