Usishangae kuisikia collabo ya Nasty C na Rayvanny

  Share this

  Jumamosi iliyopita mmoja kati ya marapper wakali kutoka South Africa Nasty C alidondoka nchini kwa madai ya ku-spend weekend na vitu ka hizo.

  Nasty C

  Rapper huyo ameonekana akiwa kwenye studio session katika Studio za WCB Wasafi na kuripotiwa kuwa ni ngoma ndio ambayo anafanya akishirikiana na mshindi wa BET Internation Viewers Choice 2017 Rayvanny.

  Ni baada ya kukutana na tweet ya mmoja kati ya ambao walisimamia ujuo wa rapper huyo hapa nchini.

  Muziki mzuri ndio next kutokana na unavyoeleweka ukali wa wasanii wote wawili, Rayvanny na Nasty C.


   

  Dondosha comments


  Share this