Utaipenda hii Tattoo mpya ya Ice Boy

  Share this

  Tattoo ni kitu cha kawaida ambacho kimezoeleka kwa watu tofauti tofauti kujichora katika miili yao ikiwa wengi hufanya hivyo kwa urembo, kumbu kumbu au hata kwa kuchora jina la kitu au mtu ambaye unampenda.

  Ice Boy hitmaker wa ngoma ya Binadamu ametuonyesha mapenzi yake ya dhati kabisa katika kazi yake ambayo anaifanya (Music) kwa kuamua kuchora tattoosign ya Music Player katika mkono wake wa kushoto.

  Tattoo ya Ice Boy imeambatana na neno linalosomeka kama “Music is Me” Unaweza kuona ni jinsi gani mkali huyo ana love na kile ambacho anakifanya.


   

  Dondosha comments


  Share this