Utani wa 50 Cent unakera, ila ndio ukweli

  Share this

  Kama kawaida yake, 50 Cent time hii ameamishia matani yake ya maudhi kwa baby mama wake.

  Moja ya wasanii ambao huwa hawaishiwi masihara na utani kwa wasanii wenzake na watu mashuhuri amerudi tena, namzungumzia 50 Cent, sasa baada ya siku ya Mama duniani kumalizika 50 Cent akaamua kumgeuzia kibao baby mama wake kwa kumwambia kwamba “Siku ya Mama imeshaisha, so arudi kumwangalia tena mtoto wao”.Alright looking good ?,Mother’s Day is over so back to watching my baby. LOL @daphnejoy.

  Ila utani wake haukuishia hapo akaposti picha nyingine ambayo yupo na mbwa wake alafu akatupia caption ya kwamba yupo na baby mama wake wa kwanza

   

  Dondosha comments


  Share this