Utapenda Tattoo ya “Timmy Tuner” ilivyotulia kwenye mkono wa Desiigner

  Share this

  Desiigner aamua kujichora Tattoo ya katuni ya Timmy Tuner ambayo ilikuwa moja ya ngoma yake pendwa mwaka jana.

  Image result for timmy turner

  Kama ulikuwa karibu na kurasa ya Instagram ya Desiigner alitumia Live Video kuwaonyesha mashabiki zake jinsi Tatto yake alivyokuwa anachorwa, ila good Thing kwamba unaweza kuitazama icha yenyewe hapa chini.

  Dondosha comments


  Share this