VANESSA ALIVYOUMIZA KWENYE STAGE YA ONE AFRICA FESTIVAL (DUBAI)

  Share this

  show ya One Africa Festival imepigwa jana huko Dubai ambapo baadhi ya mastar wa Africa waliweza kupiga performance kali na kuumiza jukwaa haswaa.

  hapa tunamwangazia mwanadada Vanessa mdee ama “VEE MONEY” alivyopiga bonge la show kwenye jukwaa la One Africa Festival.

  TAZAMA HAPA CHINI KISHA DONDOSHA COMMENTS ZAKO

  Dondosha comments


  Share this