Vide: Cheki zawadi ya Offset kwa Cardi B

  Share this

  Zile taarifa kwamba Offset na Cardi B wanamahusiano kama zinaelekea kutimia hivi baada ya Offset kumnunulia cheni mrembo huyo.

  Miezi kadhaa iliyopita kulikuwa na uvumi kuwa mshikaji Offset kama anatoka kimapenzi na mrembo Cardi B kwa uonekana katika maeneo tofauti tofauti ya bata, sasa kupitia usiku wa jana Mshikaji Offset kama ametuaminisha kwamba wawili hao kuna sumaku ya malavi davi kati yao baada ya Offset kumnunulia cheni Cardi B.

  #PressPlay: Yasssss #Offset got his bae #CardiB a new chain 😍 #BaeWatch

  A post shared by The Shade Room (@theshaderoom) on

  Dondosha comments


  Share this