Video: Cheki Drake alivyomkaribisha Conor Mcgregor ndani ya Toronto

  Share this

  Baada ya majigambo mengi kufanyika katika Press conference ya Mayweather na Conor Mcgregor huko New York kuelekea kwenye pambano lao, press yao nyingine imefika mpaka Toronto na rapper Drake akaona sio kesi kumkalibisha nyumbani  MMA champion, namzungumzia Mcgregor.

  Moja ya pambano kubwa ambalo linasubiriwa kwa hamu ni la hawa washikaji wawili na kubwa zaidi ni kwa mashabiki kutaka kumwona Mcgregor akipigana kwa mara ya kwanza kwa kufuata sheria za Boxing ndani ya uringo akiwa na Floyd Mayweather, Good thing ni kwamba wakati McGregor na Myweather wakiwa wametua Toronto, Drizzy alipata nafasi ya kumkaribisha Mcgregor na mahug ya nguvu.

  You know these two had to link up @ChampagnePapi & @TheNotoriousMMA #MayMacWorldTour

  A post shared by ufc (@ufc) on

  Dondosha comments


  Share this