Video: cheki kionjo cha Remix ya ngoma ya ‘Reminder’ ya The Weeknd

    Share this

    Kama wewe ni Shabiki namba moja wa ngoma za The Weeknd, unaambiwa kwamba jamaa anatarajia kuachia remix ya ngoma yake ya Reminder ambayo inapatikana katika Album yake ya Star Boy.

    Good Thing ni kwamba remix ya Reminder inatarajiwa kuwa na vichwa kama Young Thug pamoja na Asap Rocky, na vichwa vyenyewe tumeweza kuvisikia kupitia posti zake alizotuma kwenye kurasa yake ya Insatgram.

    Dondosha comments


    Share this