Video: Cheki Rusell Wilson na Ciara wakionyesha kipaji cha mtoto wa Future

  Share this

  Rusell Willson bado mapenzi kede kwa mtoto wa Future licha ya mashabiki kumponda kwamba hamjali mtoto huyo.

  Kupitia video clip ambayo inasambaa Instagram, mtoto wa Future anaonekana akicheza mchezo wa Baseball pamoja na baba yake Rusell Willson pamoja na mke wake Ciara akiwa anasika akishangilia kumtia hamasa Baby Future.

  Papa Russ and Future Playing Baseball ⚾ #futurezahir #russellwilson #ciara

  A post shared by Ciara and Russell Wilson (@thewilsonsfanpage) on

  Dondosha comments


  Share this