Video: Dahh cheki aibu aliyoipata Meek Mill

  Share this

  Hakuna aibu mbaya kama ukidondoka mbele ya kadamnasi, ila ukiteleza ukiwa peke yako basi lazima ucheke kidogo alafu endelee na safari, Meek Mill yamemkuta.

  Rapper Meek Mill ameamua kushare tukio lake la kuteleza wakati alipokuwa anashuka ngazi za nyumbani kwa Mama yake, sasa kupitia kurasa yake Instagram Meek akaamua kuwafurahisha mashabiki zake kwa aibu ambayo aliipata.

  Mtelezo huo ameupata akiwa amevalia viatu vya Yeezy, alafu baada ya muda akaamua kurejea nyumbani kwa Mama yake.

  πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ timeout

  A post shared by Meek Mill (@meekmill) on

  Dondosha comments


  Share this