Video: Interview ya Notorious B.I.G ambayo haikuwahi kuachiwa,…

    Share this

    Televison ya A&E imeamua kuisogeza moja ya interview ambayo haikuwahi kusikika kutoka kwa Biggie B.I.G ambapo  September  mwaka huu wa 2017 inatarajiwa kuachiwa mini Siries kumuhusu B.I.G.

    Kupitia video ambayo ilirushwa kwenye mtandao wa Youtube, inasikika sauti ya marehemu B.I.G enzi za uhai wake ambapo interview hiyo inatajwa kutowahi kusikika mahala popote pale, wasanii kama 2Chainz, David Banner, Mike Will, Hurricane Dave na T Pain pia wameonekana kila mmoja kumzungumzia Biggie, isikilize hapa chini.

    Dondosha comments


    Share this