Video: Kipaji cha Wiz khalifa kimeamia kwa mwanae, cheki hapa

  Share this

  Kama Baba kama mtoto, Wiz khalifa aamua kuwaonyesha jinsi gani kipaji chako kilivyoamia kwa mwanae Sebastian akiwa anapiga Karaoke.

  Kupitia kurasa yake ya Instagram, Wiz khalifa aliamua kushare video kwa mashabiki zake kuwaonyesha jinsi mtoto wak anavyopiga Karaoke, akiwa na ngoma ya “You’re My Inspiration”, ndani ya video hiyo aliweka caption inayosema kwamba “Morning inspiration.”

  Morning inspiration.

  A post shared by Wiz Khalifa (@wizkhalifa) on

  Dondosha comments


  Share this