Video: mtoto wa Chris Brown ‘Royalty’ full mashauzi

  Share this

  Licha ya kuongelewa huku na huku kuhusu tabia yake kuwa mbovu, katika sekta ya kukuza, Chris Brown amefanikiwa ambapo Royalty anaonekana kufuata nyayo za Baba yake kwenye muziki.

  Akiwa na miaka 3 sasa, Royalty ameonekana kwenye Snapchat akiwa anaimba kwenye kioo full mashauzi na wimbo wake wa  “If You’re Happy And You Know It”, mcheki hapa.

  #PressPlay Aww looks like #Royalty is following in her fathers footsteps! #slayy

  A post shared by The Shade Room (@theshaderoom) on

  Dondosha comments


  Share this