Video: Tazama ambacho 50 Cent amekipenda kutoka Tanzania

  Share this

  Jana mkongwe wa Rap kutoka Unyamwezini 50 Cent alitembelea office za BET nchini Marekani na kujionea vitu mbali mbali ambavyo vipo katika office hizo ikiwa ni pamoja na vivutio kutoka mataifa mbalimbali ya Africa, utendaji wao wa kazi na vitu kama hivyo.

  Moja kati ya vitu ambavyo vilimvutia zaidi 50 Cent katika office hizo ni baada ya kuingia kwenye office ya Vice Presiden wa BET na kukuta kijitu flani kama Baiskeli, na 50 Cent alivyo vutiwa nacho hakusita kuuliza kuhusiana na hicho.

  Ndipo alipopewa majibu kuwa Baiskeli hiyo ni moja kati ya vivutio kutoka Tanzania, ndipo 50 Cent akasikika akiimwagia sifa kede kede Tanzania na kunukuliwa maneno machache akisema “Tanzania that’s a fly tour country.”

  Bonyeza play kwenye video hii hapa chini uweze kumsikiliza 50 Cent alivyokuwa akizungumza hayo kuihusu Tanzania.

  Dondosha comments


  Share this