VIDEO:HIVI UKITEMBEA NA RAFIKI WA DEMU WAKO,ALAFU DEMU WAKO AKAJUA INAKUWAJE? SASA CHEKI HII YA YOUNG THUG

  Share this

  Baada ya kusemekana kumcheat mpenzi wake na kwenda kwa rafiki wa mpenzi wake Rapper Young Thug ameamua kurudisha majeshi nyuma na kuamua kuomba msamaha kwa mwanamke wake.

  Related image

  Young ThugRapper huyo ambaye anasifika kwa matumizi mazuri ya sauti yake ya kipekee amechukua headline baada ya kutumia ukurasa wake wa Instagram kurecord video akionekana kuomba msamaha kwa mpenzi wake huyo Jerrika karlae video nzima ilikuwa kama hivi.

  Dondosha comments


  Share this