VIDEO:KWA HII VIDEO INAWEZEKANA NICK MINAJ TAYARI YUPO KWENYE MAHUSIANO NA RAPPER NAS

  Share this

  Nick Minaj ameonyesha jambo la kushangaza ambalo watu wengi awakutarajia baada ya kuibuka katika Birthday ya rapper Nas na kuonekana wapo karibu kama watu ambao wapo kwenye mahusiano.

  Image result for nicki minaj and nas

  Nick ameoneka akiwa na furaha na Nas hii ni baada ya kuachana na rapper kutoka Maybach music group Meek Mill,Kwa sasa Nick Minaj yupo single ingawaje alihusishwa kuwa kwenye mahusiano na Nas baada ya kuonekana wakiwa karibu na hata Nick alipoulizwa kuhusu kwanini yupo karibu na Nas alisema”Haoni kama kuna ubaya kuwa karibu na Nas kwasababu ni rapper mkongwe na anamkubali”Wawili hao walionekana wakiwa kwenye mgahawa ambao unamilikiwa na Nas.

  Kwa tukio la Nick kuonekana karibu na Nas katika siku ya kuzaliwa ya mkali huyo,inawezekana tayari wapo kwenye mahusiano kwakuwa hata kwenye ukurasa wake wa Twitter Nick ameandika maneno flani hivi yenye kuonyesha kuwa Nas ni mtu wake wa akaribu kwa sasa,Hata hivyo kwenye siku hiyo ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya rapper huyo kulikuwa na makali Swizzbeats na mkewe Alicia Keys.

  Dondosha comments


  Share this