Wale kufanya mabadiliko makubwa kwenye maisha yake

    Share this

    Rapper Wale kaamua kuwaachia maswali mashabiki zake kwa caption yake ambayo inayonyesha kama mchizi atakuwa kimya kwenye mitandao  ya kijamii.

    Kupitia posti yake kwenye Instagram inamwonyesha Mshikaji kashikilia rocks za Wale kwa ajili ya kuzikata huku wale ndani ya picha anaonekana kama mwenye mawazo flani hivi, sasa ndani ya posti hiyo aliisindikiza na Caption moja ambayo ilikuwa inasema kwamba “Man Idnt Know What Im Doin  but I know need to make changes….Find my happiness, could this be phase one? I’ll be leaving yo guys for a while …my friend Issarae says its time to change up…my man,..  renaldowilliams says its time.” Aliandika Wale kwenye kurasa yake ya Instagram.

    Dondosha comments


    Share this