Watanzania 12 kuwania Tuzo za AFRIMMA 2017

  Share this

  Usiku wa kuamkia leo Jully 21 yametangazwa rasmi majina yanayowania tuzo za African Magazine Music Awards (AFRIMMA) kwa mwaka huu wa 2017.

  Ni majina ya Watanzania 12 kutoka kwenye entertainment industry ndio ambayo yamefanikiwa kuingia katika vipengele vya kuwania tuzo hizo.

  Ambayo ni

  • Diamond Platnumz
  • Alikiba
  • Darassa
  • Vanessa Mdee
  • Dayna Nyange
  • Yamoto Band
  • Rayvanny
  • DJ D Ommy
  • Tud Thomas
  • Mose Iyobo
  • Benpol

  Kila la kheri kwa kila Mtanzania katika kuhakikisha ushindi unarudi nyumbani.


   

  Dondosha comments


  Share this